Yesu Kristu Ni Mfalme Kwaya Ya Mt Anthony Wa Padua Magomen

yesu kristu ni mfalme kwaya ya mt anthony wa о
yesu kristu ni mfalme kwaya ya mt anthony wa о

Yesu Kristu Ni Mfalme Kwaya Ya Mt Anthony Wa о Karibuni wapenzi watazamani wa jugo media kama kawaida leo tena tunawaletea perfomance mbalimbali zilizofanyika katika tamasha la yesu kristu mfalme magomeni. Wimbo huu wa mfalme wa wote kama ulivyotungwa na mtunzi e. f. jissu unatutaka tumshangilie na kumtukuza bwana wetu yesu kristu kwa kuwa yeye ndiye mfalme wet.

Msifuni yesu Mwokozi kwaya ya mt anthony wa padua Magomeni
Msifuni yesu Mwokozi kwaya ya mt anthony wa padua Magomeni

Msifuni Yesu Mwokozi Kwaya Ya Mt Anthony Wa Padua Magomeni Mt anthony wa padua alizaliwa mwaka 1195 huko lisbon,ureno.aliitwa fernando martins.alizaliwa katika familia njema yenye uwezo.akiwa na umri wa miaka 15,aliomba kupelekwa seminari ya santa cruz katika mji wa coimbra,ambako alisoma teolojia na kilatini.akapata daraja la upadre,na akawa hapo hapo mjini coimbra.wakaja wa franciscan ambao walitengeneza makao yao nje ya mji.padre fernando martin. Tumwimbie bwana katika roho na kweli !!! karibu tusikilize nyimbo za injili za kumsifu na kumwabudu mungu karibu sana !!!. St anthony, wewe ni utukufu kwa miujiza yako na kwa utukufu wa yesu aliyekuja kama mtoto mdogo kulala katika mikono yako. nipate mimi kutokana na fadhila yake neema ambayo ninayotamani sana. ulikuwa na huruma sana kwa wenye dhambi, usijali ustahili wangu. hebu utukufu wa mungu utukuzwe na wewe kuhusiana na ombi fulani ambalo ninawapa kwa bidii. Yesu alijibu; wewe wasema, kwa kuwa mmi ni mfalme (yn.18:37). kwa mwaka mzima kanisa limetukumbusha ya kwamba: kristo ni mfalme na mchungaji mwema wa wanadamu wote kwa maisha ya sasa hapa duniani na maisha yajayo mbinguni baada ya kufa kwani yeye ndiye mfalme, hakimu na mwokozi wetu. kumbe iwe tu hai au tumekufa, kama anavyotuambia mtume paulo.

Comments are closed.