Tamasha Mt Anthony Wa Padua Buyuni Kwaya Mt Theresia Mtoto Yesu Viwege Yatamba Kwa Staili Ya Kipekee

Hata Siku ya Kwanza mt anthony wa padua buyuni tamasha La
Hata Siku ya Kwanza mt anthony wa padua buyuni tamasha La

Hata Siku Ya Kwanza Mt Anthony Wa Padua Buyuni Tamasha La Mpenzi mtazamaji wa@nkomokomomedia waingia na staili ya namna yake hata umati wote kuuona upekee wa wana viwege ni instrumental tu hadi kutoka jukwaani . h. Tamasha lililoandaliwa na kwaya ya mt. augustino parokia ya kibalozi ya mt. yuda thadei mtume stakishari.

kwaya mt anthony wa padua buyuni tamasha La Jubilei Miaka
kwaya mt anthony wa padua buyuni tamasha La Jubilei Miaka

Kwaya Mt Anthony Wa Padua Buyuni Tamasha La Jubilei Miaka Karibu kwenye ukurasa rasmi wa kwaya ya mt theresia wa mtoto yesu parokia ya mt yoseph mfanyakazi ihumwa. Mtakatifu theresia wa mtoto yesu aliaga dunia tarehe 30 septemba 1897, akatangazwa mtakatifu mwaka 1925, mnamo mwaka 1927 papa pius xi akamtangaza kuwa ni msimamizi wa utume wa kanisa. wito: katika maandiko yake anasema wito wangu ni upendo. mtakatifu theresia wa mtoto yesu katika umri mdogo amekutana na matatizo mengi na majaribu makubwa, kama. Teresia wa mtoto yesu. teresia alizaliwa ufaransa. wazazi wake walipata watoto tisa. teresia akiwa wa mwisho, kitindamimba. wazazi waliwalea watoto wao katika uchaji wa mungu. wao wenyewe waliwafunza katekisimu, waliwasalisha sala za asubuhi na jioni, wakipiga magoti nyuma yao mbele ya msalaba uliotundikwa ukutani. Mnamo tarehe 3 aprili 1930 kardinali tommaso pio boggiani, askofu mkuu wa jimbo kuu la porto santa lufina kwa kuafikiana na baba mtakatifu pio x1 wakawatambua watawa hawa wapya kwa jina la “masista wakarmeli wamissionari wa mtakatifu theresia wa mtoto yesu. tarehe 3 oktoba 1963, shirika letu likapewa hadhi ya kipapa na kuendelea kuchanua.

Comments are closed.