Parachichi Njombe Mche Wa Mwaka Mmoja Tunashindana Urefu Shamba Limestawi Nemes Wataalamu

parachichi njombe mche wa mwaka mmoja tunashindana uref
parachichi njombe mche wa mwaka mmoja tunashindana uref

Parachichi Njombe Mche Wa Mwaka Mmoja Tunashindana Uref Kwa mara ya kwanza mti mmoja wa parachichi unaweza kukupa kati ya matunda 50 hadi 100 kwa mche mmoja. mavuno hueongezeka kadri umri unavyoongezeka mti wa parachichi ukifikia umri wa miaka 4 hadi 5, unakuwa full maturity, na hivyo mti mmoja unaweza kukupa hadi matunda 1200 kwa mwaka mzima ' faida. @kilimobiashara9361 @kangetakilimo6268 @juvetv229 @kilimotv1730 @kilimochapapaitz @geowizard @kilimopesa27 @wizarayakilimoumwagiliajim4288.

mche wa parachichi Miezi 5 Watoa Matunda Fuata Hatua Hizi Kwa Matokeo
mche wa parachichi Miezi 5 Watoa Matunda Fuata Hatua Hizi Kwa Matokeo

Mche Wa Parachichi Miezi 5 Watoa Matunda Fuata Hatua Hizi Kwa Matokeo Hass. hii ni aina maarufu sana katika aina za parachichi. – ni tunda linalokuwa na vipere vipere. limechongoka juu na chini. linahifadhika kwa urahisi. ii. aina ya pili ni fuerte. hili ni aina ya parachichi lenye ngozi laini saini, ngozi yake inateleza kama imepakwa mafuta. liko na mafuta mengi ila linawahi kuoza. Nchini tanzania, shirika la umoja wa mataifa la chakula na kilimo, fao kwa kushirikiana na taasisi ya udhibiti wa ubora wa mbegu tosci na kamisheni ya sayansi na teknolojia tanzania, costec wameandaa mpango kabambe kupitia mfuko wa mradi wa ubunifu (innovation fund) kuhakikisha kuwa inaunda na kuanzisha maktaba yenye aina za parachichi kwa mfumo wa vinasaba yaani dna ambazo mkulima anaweza. 1.4 mwaka 2013. nchini tanzania, uzalishaji wa parachichi unaanza kufahamika miongoni mwa jamii huku mashamba mapya yakiendelea kufunguliwa maeneo mbalimbali nchini. mikoa kama ya njombe, iringa, geita na hata mkoa wa kagera kumeshuhudiwa ongezeko la maeneo yaliyopandwa na hutoa mavuno makubwa; aina inayopandwa kwa ajili ya soko la nje –. Faida ya kilimo cha parachichi. kwa kipimo cha mita 10 kwa mita 10, katika eka mmoja utakuwa na miti ya parachichi 40. kila mti baada ya mika 5 unaweza kukupa wastani wa matunda 1000. hivyo kwa miti 40, utakuw na jumla ya matunda 40 x 1000 = 40,000. kila tunda kwa bei ya shambani uuze tsh 250, na unamatunda 40,000.

Comments are closed.