Mwandishi Wa Habari Afariki Dunia

mwandishi wa habari wa Itv Gabriel Kandonga afariki dunia Itv
mwandishi wa habari wa Itv Gabriel Kandonga afariki dunia Itv

Mwandishi Wa Habari Wa Itv Gabriel Kandonga Afariki Dunia Itv Katibu msaidizi wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa mwanza (mpc), blandina aristides amefariki dunia leo asubuhi katika hospitali ya rufaa ya bugando iliyopo jijini mwanza. mwenyekiti wa mpc, edwin soko amesema, leo desemba 26, 2023 kuwa blandina alifikishwa hospitalini hapo kwa ajili ya kujifungua na alijifungua kwa upasuaji, lakini hali. Mwandishi wa habari aliyekuwa akiandikia gazeti la the guardian mkoani morogoro, michael sikapundwa amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari wakati akirudi nyumbani kutoka kazini. mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari mkoani morogoro, nickson mkilanya amethibitisha kifo cha mwandishi huyo ambaye siku chache zilizopita amerudi akitokea.

Tanzia mwandishi wa habari Vedasto Msungu afariki dunia вђ Global
Tanzia mwandishi wa habari Vedasto Msungu afariki dunia вђ Global

Tanzia Mwandishi Wa Habari Vedasto Msungu Afariki Dunia вђ Global Pwani. waandishi wa habari wawili wa mkoa wa lindi wamefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea usiku wa kuamkia leo machi 26, 2024 katika eneo la nyamwage mkoani pwani. wanahabari hao walikuwa wanatokea jijini dar es saalam kuelekea mkoani lindi ambapo walipata ajali saa saba usiku leo hilo. akizungumza na mwananchi digital kwa njia ya. Mwandishi wa habarileo, theopista nsanzugwanko amefariki dunia leo majira ya saa 3 asubuhi wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya taifa muhimbili, familia imesema. theopista amekuwa akiugua kwa muda mrefu, na taarifa zaidi kuhusu mipango ya mazishi itatolewa baadaye. bwana alitoa, na bwana ametwaa; jina la bwana na libarikiwe. hakimiliki. Takriban watu 14 wakiwemo waandishi sita wa habari wamefariki dunia katika ajali mbaya ya barabarani iliyohusisha msafara wa mkuu wa mkoa wa mwanza eneo la chumbe wilayani busega mkoani simiyu. Leila sheikh mwanaharakati wa uhuru wa vyombo vya habari tanzania afariki dunia. tasnia ya habari nchini tanzania inaomboleza kifo cha mwandishi wa habari mkongwe na mmoja wa waanzilishi wa chama cha waandishi wa habari wanawake tanzania (tamwa) leila sheikh ambaye alifariki ghafla usiku wa kuamkia jumatatu.

mwandishi wa habari Mwandamizi afariki dunia вђ Full Shangwe Blog
mwandishi wa habari Mwandamizi afariki dunia вђ Full Shangwe Blog

Mwandishi Wa Habari Mwandamizi Afariki Dunia вђ Full Shangwe Blog Takriban watu 14 wakiwemo waandishi sita wa habari wamefariki dunia katika ajali mbaya ya barabarani iliyohusisha msafara wa mkuu wa mkoa wa mwanza eneo la chumbe wilayani busega mkoani simiyu. Leila sheikh mwanaharakati wa uhuru wa vyombo vya habari tanzania afariki dunia. tasnia ya habari nchini tanzania inaomboleza kifo cha mwandishi wa habari mkongwe na mmoja wa waanzilishi wa chama cha waandishi wa habari wanawake tanzania (tamwa) leila sheikh ambaye alifariki ghafla usiku wa kuamkia jumatatu. Mama wa mwandishi wa habari aliye mahabusu nchini tanzania erick kabendera amefariki dunia, familia imethibitisha. bi verdiana mjwahuzi (81) amefikwa na umauti katika hospitali ya amana jijini dar. Tanzia nguli wa habari nchini tanzania, marin hassan marin amefariki dunia leo aprili 1, 2020 katika hospitali ya jeshi lugalo, dar es salaam. taarifa za kifo chake zimethibitishwa na kaimu mkurugenzi mkuu wa shirika la utangazaji tanzania (tbc), martha swai. utangulizi marehemu marin hassan.

mwandishi Wa Habari Afariki Dunia
mwandishi Wa Habari Afariki Dunia

Mwandishi Wa Habari Afariki Dunia Mama wa mwandishi wa habari aliye mahabusu nchini tanzania erick kabendera amefariki dunia, familia imethibitisha. bi verdiana mjwahuzi (81) amefikwa na umauti katika hospitali ya amana jijini dar. Tanzia nguli wa habari nchini tanzania, marin hassan marin amefariki dunia leo aprili 1, 2020 katika hospitali ya jeshi lugalo, dar es salaam. taarifa za kifo chake zimethibitishwa na kaimu mkurugenzi mkuu wa shirika la utangazaji tanzania (tbc), martha swai. utangulizi marehemu marin hassan.

Comments are closed.