Habari August 23 2015 Ch10 Youtube

habari august 23 2015 ch10 youtube
habari august 23 2015 ch10 youtube

Habari August 23 2015 Ch10 Youtube Uandikishaji wapiga kura kwa mfumo wa bvr waelezwa kuelezwa vyema kwa misingi ya sheria licha ya kuwepo kwa mapungufu ya sheria na utawala. Viazi lishe vyaelezwa kuwa na faida nyingi kiafya pamoja na kutibu magonjwa mbalimbali ikiwemo kipato kwa wananchi.

habari august 23 2015 Star Tv youtube
habari august 23 2015 Star Tv youtube

Habari August 23 2015 Star Tv Youtube Chama cha adc chasisitiza haki,usawa na ustaarabu katika kampeni huku kikipinga siasa za ukanda,udini na ukabila. Mkuu wa jeshi la polisi ameahidi kupambana na ujangili katika hifadhi ya wanyama ya gombe mkoani kigoma. Wanafunzi 31 wa kidato cha kwanza na cha nne katika shule ya sekondari ya geita islamic warudishwa nyumbani baada ya kugoma kuingia darasani. Wananchi wa kanda ya nyandda za juu kusini watakiwa kutumia teknolojia rahisi ya usindikaji mazao ilio kuongeza thamani ya mazao yao.

habari august 23 2015 Tbc youtube
habari august 23 2015 Tbc youtube

Habari August 23 2015 Tbc Youtube Wanafunzi 31 wa kidato cha kwanza na cha nne katika shule ya sekondari ya geita islamic warudishwa nyumbani baada ya kugoma kuingia darasani. Wananchi wa kanda ya nyandda za juu kusini watakiwa kutumia teknolojia rahisi ya usindikaji mazao ilio kuongeza thamani ya mazao yao. Viongozi wa dini waaswa kutumia nafasi zao kuhamasisha waumini wao na wananchi kwa ujumla juu ya umuhimu wa amani na utulivu nchini. Watanzania wanaoishi nje ya nchi watakiwa kuacha woga wa kuwekeza nyumbani huku wakitakiwa kuondokana na kasumba ya kwamba nyumbani kuna matatizo mengi.

habari august 23 2015 Azam Tv youtube
habari august 23 2015 Azam Tv youtube

Habari August 23 2015 Azam Tv Youtube Viongozi wa dini waaswa kutumia nafasi zao kuhamasisha waumini wao na wananchi kwa ujumla juu ya umuhimu wa amani na utulivu nchini. Watanzania wanaoishi nje ya nchi watakiwa kuacha woga wa kuwekeza nyumbani huku wakitakiwa kuondokana na kasumba ya kwamba nyumbani kuna matatizo mengi.

habari august 23 2015 Azam Tv youtube
habari august 23 2015 Azam Tv youtube

Habari August 23 2015 Azam Tv Youtube

Comments are closed.