Aleluya By John Mgandu Ikiimbwa Na Ukwakwata Parokia Ya St Joseph

aleluya By John Mgandu Ikiimbwa Na Ukwakwata Parokia Ya St Joseph
aleluya By John Mgandu Ikiimbwa Na Ukwakwata Parokia Ya St Joseph

Aleluya By John Mgandu Ikiimbwa Na Ukwakwata Parokia Ya St Joseph Wimbo 👉🏽aleluya (shangilio)mtunzi 👉🏽john mganduorganist👉🏽john chilewaorgan 👉🏽yamaha el500location👉🏽zanzibar shot by 👉🏽veefilm (victor richie)🔴us. Download nota download midi. john mgandu. 4.7.1989. dsm. aleluya aleluya aleluya aleluya x 2. aleluya aleluya aleluya aleluya aleluya x 2. ewe baba wa bwana wetu yesu kristu, yesu kristu uyatie nuru macho ya mioyo yetu, ili tujue tumaini la mwito wake jinsi lilivyo.

Mtu Akinitumikia by John mgandu Ukiimbwa na Ukwakata parokia ya stо
Mtu Akinitumikia by John mgandu Ukiimbwa na Ukwakata parokia ya stо

Mtu Akinitumikia By John Mgandu Ukiimbwa Na Ukwakata Parokia Ya Stо Wimbo : mtu akinitumikiamtunzi : john mganduorganist : john chilewalocation : st joseph cathedral zanzibarvideo : veefilm (victor richie)📌nikuombe usubscr. Wimbo 👉🏽 misa ya mt anna(utukufu)mtunzi 👉🏽 rev. fr. kayettalocation👉🏽st joseph cathedral zanzibarorgan 👉🏽yamaha el 500shot by vee film (victor richi. Licha ya kuwa mtunzi, mwalimu mgandu alikuwa mpiga kinanda, filimbi na ala nyingine nyingi. pia alikuwa mwalimu na muongozaji wa muziki na kwaya mbalimbali. ikumbukwe kuwa mwaka 2002 mwalimu mgandu alishinda tuzo ya kuwa mpiga kinanda bora tanzania (tanzania kilimanjaro music awards). alifariki julai 10 mwaka 2008. Mtunzi: john mgandu > tazama nyimbo nyingine za john mgandu makundi nyimbo: noeli umepakiwa na: vusile silonda umepakuliwa mara 17,411 | umetazamwa mara 31,990.

Comments are closed.